Nenda kwa yaliyomo

Watermelon Slim

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

William P. Homans III, (alizaliwa 1949) anajulikana kama "Watermelon Slim", ni mwanamuziki na mpiga gitaa wa nchini Marekani. William alijiunga na kundi la Northern Blues Music (Muziki wa Kaskazini) mjini Toronto, Ontario. William Homans amepata shahada ya kwanza ya uzamili kutoka Chuo Kikuu cha Oregon na Chuo Kikuu cha Jimbo la Oklahoma.[1][2] [3][4]

  1. Taylor, David. "It's as easy to find the heart of America in the tin blues shacks of the Mississippi as it is in Washington's corridors of power", The Times, 13 April 2015, p. 28. 
  2. "Watermelon Slim Mixes Country, Blues, Rock on New CD 'Ringers'". VOA. Iliwekwa mnamo 18 Januari 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Wheeler, Brad. "Waist deep in alligators: Blues legend Watermelon Slim's done a lot of things most people shouldn't try.", The Globe and Mail, 17 April 2006, p. R1. 
  4. "The Musicians Atlas - 2007 Independent Music Awards Winners". 1 Mei 2009. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 1 Mei 2009. Iliwekwa mnamo 7 Februari 2019. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Watermelon Slim kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
pFad - Phonifier reborn

Pfad - The Proxy pFad of © 2024 Garber Painting. All rights reserved.

Note: This service is not intended for secure transactions such as banking, social media, email, or purchasing. Use at your own risk. We assume no liability whatsoever for broken pages.


Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy