Nenda kwa yaliyomo

Yosefu Maria Rubio

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha yake halisi.

Yosefu Maria Rubio (Dalias, leo nchini Hispania, 22 Julai 1864 - Aranjuez, Hispania, 2 Mei 1929) alikuwa padri wa Shirika la Yesu, ambaye anaitwa mtume wa Madrid kwa jinsi alivyotangaza Injili huko, hasa kwa kutembelea mitaa maskini, mbali ya kuhubiri mafungo na kuungamisha waliotubu.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 6 Oktoba 1985 akamtangaza mtakatifu tarehe 4 Mei 2003[1][2].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[3][4].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "José María Rubio Peralta(1864-1929), 4 May 2003, biography". www.vatican.va. Iliwekwa mnamo 2018-08-24.
  2. "Patron Saints Index: Saint José María Rubio y Peralta". 2008-06-03. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-06-03. Iliwekwa mnamo 2018-08-24. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)
  3. Martyrologium Romanum
  4. "Liturgical calendar" (PDF).
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
pFad - Phonifier reborn

Pfad - The Proxy pFad of © 2024 Garber Painting. All rights reserved.

Note: This service is not intended for secure transactions such as banking, social media, email, or purchasing. Use at your own risk. We assume no liability whatsoever for broken pages.


Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy