Nenda kwa yaliyomo

Zahir Howaida

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Zahir Howaida (Kidari/Pashto: ظاهر هویدا) (pia hutamkwa kama Zahir Huwaida; 28 February 1946 - Machi 2012) alikuwa mwanamuziki maarufu nchini Afghanistan.[1][2][3] Alianza kuvuma tangu miaka ya 1960 pamoja na nyimbo zake zilizokuwa maarufu kwa jina la "Bareek-e-Man"na "Shanidam Az Anja Safar Mikoni". Howaida alisifika kwa sauti yake ya ndani(asili) na ya kupendeza.[4]

  1. afghans.com.au http://afghans.com.au/?p=522. Iliwekwa mnamo 2022-03-23. {{cite web}}: Missing or empty |title= (help)
  2. "خاکسپاری ظاهر هویدا در آلمان". BBC News فارسی (kwa Kiajemi). 2012-03-09. Iliwekwa mnamo 2022-03-23.
  3. http://www.dw.de/dw/article/0,,6404311,00.html
  4. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-01-24. Iliwekwa mnamo 2022-03-23.
pFad - Phonifier reborn

Pfad - The Proxy pFad of © 2024 Garber Painting. All rights reserved.

Note: This service is not intended for secure transactions such as banking, social media, email, or purchasing. Use at your own risk. We assume no liability whatsoever for broken pages.


Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy