0% found this document useful (0 votes)
4K views7 pages

Maswali Ya Bembea Ya Maisha QNS

Bembea questions

Uploaded by

papitodan9
Copyright
© © All Rights Reserved
We take content rights seriously. If you suspect this is your content, claim it here.
Available Formats
Download as PDF, TXT or read online on Scribd

You are on page 1/ 7

BEMBEA YA MAISH

POSSIBLE KCSE QUESTIONS

CLASS OF KCSE 2023 NOVEMBER

For Marking Schemes and Similar

Resources:
Contact:

Mr Machuki – 0724333200
kenyaeducators@gmail.com
or
Order online at:

www.kenyaeducators.co.ke
KENYA EDUCATORS CONSULTANCY

Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi.

Tel 0724333200 E-mail kenyaeducators@gmail.com. ORDER MARKING SCHEMES AT
www.kenyaeducators.co.ke or Contact 0724333200/0768321553/0795491185
MASWALI YA BEMBEA YA MAISHA
1. Anwani bembea ya Maisha inaafiki tamthiliya hii. Jadili kwa kutoa hoja ishirini (alama 20)

2. Kwa kurejelea tamthilia hii eleza namna mila na desturi zinavyoweza kuzua migogoro katika
jamii.

(alama 20)

3. A. Soma dondoo lifuatalo kisha ujibu maswali.

"La! Kila mbegu ipandwayo haina budi kuzaa na izaapo mazao yake huvunwa. Mtu huitakasa
sahani

akijua itamfaa tena. Kinacholelewa hakina budi kulea."

a) Fafanua muktadha wa mancno haya. (alama 4)

b) Taja mbinu nne zilizotumika hapa. (alama 8)

c) Eleza sifa nne za mnenaji (alama 8)

4. A. Soma dondoo kisha ujibu maswali.

"Kumbuka, mrina haogopi nyuki. Marehemu mamangu alizoea kutuambia kuwa nguvu
hazimwishi mwanadamu wala hazipotei bure — humalizwa tu na mabuu. Mwanangu, usifanye
hofu. Nikujuavyo

mimi, hukuingia katika bahari si yako. Wala hakuna refu lisilokuwa na ncha. yote yana kikomo
ati! Ipo

Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi.

Tel 0724333200 E-mail kenyaeducators@gmail.com. ORDER MARKING SCHEMES AT
www.kenyaeducators.co.ke or Contact 0724333200/0768321553/0795491185
siku haya yote yatapita. Mkulima hodari libasi yake huwa imechakaa na kuchoka lakini moyoni
anabaki

safl kama theluji kwa kutosheka na tija ya sulubu zake. Huwezi kumlinganisha na mkulima wa
nguo safi

zilizopigwa pasi zikanyooka."

a) Yaweke maneno haya katika muktadha wake. (alama 4)

b) Fafanua sifa moja ya mnenaji inayojitokeza katika dondoo hili (alama 2)

c) Fafanua mbinu zilizotumika (alama 8).

d) Onyesha kuwa msemewa hakuingia bahari ambayo si yake (alama 6)

5. Soma dondoo kisha ujibu maswali.

Eti alama! My foot! Eti ameshuka nafasi darasani lakini akapandisha alama...

a) Eleza maudhui yanayojitokeza katika dondoo hili. (alama 2)

b) Jadili sifa tano za mnenaji. (alama 10)

c) Tathmini umuhimu wa mnenaji katika tamthilia. (alama 8)

Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi.

Tel 0724333200 E-mail kenyaeducators@gmail.com. ORDER MARKING SCHEMES AT
www.kenyaeducators.co.ke or Contact 0724333200/0768321553/0795491185
6. Soma dondoo kisha ujibu maswali.

“Ukilazwa tayari unakuwa umeonja seli,: Hata wahudumu wenyewe hawana mlahaka mwema.
Amri na

vitisho kama askari. Unashindwa kama UUguze moyo ama ugonjwa. Katika wodi hewa iliyojaa
harufu

ya dawa imezagaa, vitanda vimesalimu amri mpaka shiti zikagura. Yaani hali nzima haikupi
matumaini

ya kutoka ukiwa bora. Matumaini yanadidimia. Tumaini lako unaliweka katika sala”.

a) Changanua mtindo wa dondoo kwa kurejelea hoja tano. (alama 10)

b) Fafanua namna mandhari ya dondoo hili yalivyochangia usukaji wa tamthilia. (alama 10)

7. Soma dondoo lifuatalo kisha ujibu maswali.

‘...wanajikuta katika vuta n'kuvute inayochochewa na mitazamo ya kitamaduni, uhalisia wa

mambo

pamoja na matamanio ya wahusika binafsi. Baina yao kuna mitikiso inayotishia familia, ndoa na
mahusiano ya kijamii. Kuna shutma, shaka, tuhuma na mivutano. Lakini pia kuna hongera,
imani,

ushirikiano, upendo, kutanabahi, na mshikamano. Katika huu mseto wa mambo ipo

sauti imara.. ."

a) Fafanua muktadha wa maneno haya. (alama 4)

Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi.

Tel 0724333200 E-mail kenyaeducators@gmail.com. ORDER MARKING SCHEMES AT
www.kenyaeducators.co.ke or Contact 0724333200/0768321553/0795491185
b) Hakiki mtindo wa dondoo hili. (alama 2)

c) Fafanua mitikiso saba inayotishia mahusiano ya kijamii ya tamthilia hii. (alama 14)

8. Mwandishi wa Bembea ya Maishaameipa uzito mbinu rejeshi. Eleza. (alama 20)

9. Soma dondoo hili na ujibu maswali.

"Mtu anaishi na wanawe ambao wiki nzima anawaona wakiwa usingizini;

wamelala fofofo.. .Nyumba ni ya yaya."

i. Weka maneno haya kwenye muktadha wake. (alama 4)

ii. Fafanua maudhui yanayojitokeza kwenye dondoo. (alama 2)

iii. Fafanua manufaa saba ya mazingira ya dondoo hili. (alama 14)

10. Soma dondoo hili kisha ujibu maswali.

‘Maisha yetu ni mfano wa mbegu iliyopandwa. Mbegu hiyo haina budi kuoza kwanza
ndipo ioteshe mche

upendezao. Mche huo wa asili ya mbegu iliyooza, hatimaye hutoa zao la mbegu
nyingi ajabu. Ukitazama

vizuri, mbegu ile haifi bali huchukua mkondo mwingine wa maisha. Huchukua
umbo)ipya lipendezalo

hasa ikiwa itakuwa imeangukia ardhi nzuri.. -Sasa rudini msaidie kuzalisha mbegu
nyingi nzuri. Nyinyi

Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi.

Tel 0724333200 E-mail kenyaeducators@gmail.com. ORDER MARKING SCHEMES AT
www.kenyaeducators.co.ke or Contact 0724333200/0768321553/0795491185
mmebahatika kuwa mbegu nzuri istahiliyo kupandwa."

Hakiki ukweli wa maneno haya kwa kurejelea Bunju,Neema na wahudumu hospitalini.

(alama 20)

11. Bembea ya Maisha ni tamthilia inayohimiza mshikamano wa kijamii. Jadili. (alama

20)

12. Mwanamke anaonyesha maumbo mbalimbali, mazuri na mabaya.

13. Elimu ni mafundisho aali yatolewayo darasani au katika jamii. Jadili kwa kurejelea
tamthilia ya Bembea

ya Maisha (alama 20)

14. “Imani na itikadi huthaminiwa sana na jamii ya watu”. Jadili ukweli wa kauli hii
kwa kurejelea tamthilia

ya bembea ya Maisha (alama 20)

15. Mwandishi wa tamthilia hii ameshughulia sana suala la Mabadiliko katika jamii.
Fafanua (alama 20)

16. Eleza jinsi mwandishi watamthilia ya Bembea ya maiisha alivyofanikiwa

kutumia ishara katika kazi (alama 20)

Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi.

Tel 0724333200 E-mail kenyaeducators@gmail.com. ORDER MARKING SCHEMES AT
www.kenyaeducators.co.ke or Contact 0724333200/0768321553/0795491185
For Marking Schemes and Similar
Resources:
Order online at:
www.kenyaeducators.co.ke
or
Contact:
Mr Machuki – 0724333200
kenyaeducators@gmail.com
KENYA EDUCATORS CONSULTANCY

Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi.

Tel 0724333200 E-mail kenyaeducators@gmail.com. ORDER MARKING SCHEMES AT
www.kenyaeducators.co.ke or Contact 0724333200/0768321553/0795491185

You might also like

pFad - Phonifier reborn

Pfad - The Proxy pFad of © 2024 Garber Painting. All rights reserved.

Note: This service is not intended for secure transactions such as banking, social media, email, or purchasing. Use at your own risk. We assume no liability whatsoever for broken pages.

Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy