Content-Length: 156093 | pFad | http://news.un.org/sw/

Habari za UN | Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UN News

Makala Maalum

Msaada wa Kibinadamu Hali ya ucheleweshaji wa mara kwa mara katika usambazaji wa misaada ya kibinadamu kutokana na vizuizi vilivyowekwa na mamlaka ya Israel imezuia vifaa vya kuokoa maisha kufikia wale walio na mahitaji makubwa zaidi katika Ukanda wa Gaza ulioathiriwa na vita. Kwenye udadavuzi huu utapata taarifa za hivi karibuni kabisa kuhusu jinsi wahudumu wa misaada wanavyoingiza misaada ili kuwasaidia Wapalestina waliokwama kwenye vita ukanda huo.

Habari Nyinginezo

Masuala ya UM Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amezisihi nchi wanachama kuwa na moyo na ari ya maelewano na kuionyesha dunia kile tunachoweza kufanya endapo tutafanyajkazi kwa Pamoja.
Haki za binadamu Wataalamu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu wamekaribisha msisitizo wa Jopo la Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa kutaka haki za binadamu zizingatiwe wakati wa kipindi cha kuhama kutoka nishati kisukuku kwenda kutumia madini yasiyo na madhara kwa mazingira kama vile Cobalt na Nikeli.








ApplySandwichStrip

pFad - (p)hone/(F)rame/(a)nonymizer/(d)eclutterfier!      Saves Data!


--- a PPN by Garber Painting Akron. With Image Size Reduction included!

Fetched URL: http://news.un.org/sw/

Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy