Adam Gemili : Tofauti kati ya masahihisho
Mandhari
Content deleted Content added
Anzisha Makala |
No edit summary |
||
(marekebisho 3 ya kati na watumizi wengine 3 na yule ambaye hajaonyeshwa) | |||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
[[Picha:Adam Gemili Rio 2016.jpg|thumb|Adam Gemili akikimbia mita 200 katika fainali za Olimpiki 2016 ]] |
|||
Adam Gemili (alizaliwa |
'''Adam Gemili''' (alizaliwa [[Oktoba 6]] [[1993]])<ref>{{Cite web|title=Adam Gemili|url=https://www.teamgb.com/athlete/adam-gemili/2DF1BaJrTSW2sJGNFGoljm|work=www.teamgb.com|accessdate=2021-09-25|language=en-gb}}</ref>, ni [[Riadha|mwanariadha]] kutoka nchini [[Uingereza]],ni mshindi wa michuano ya ulaya ya mwaka [[2014]] katika mbio za mita 200 na mita 4 x 100 ya kupeana vijiti ,Lakini pia ni sehemu ya Timu ya [[Uingereza]] iliyo shinda Medali ya dhahabu mnamo mwaka 2017 katika mashindano ya dunia. |
||
Alikuwa mwanariadha |
Alikuwa mwanariadha Mwingereza wa kwanza kushiriki [[mashindano]] ya mita 100 ya vipande kumi na ya mita 200 ya vipande ishirini<ref>{{Citation|title=Gemili runs his first sub-10 100m|url=https://www.bbc.co.uk/sport/athletics/33041325|work=BBC Sport|language=en-GB|access-date=2021-09-25}}</ref>. |
||
Aliwahi kupata medali ya fedha katika mita 100 na mita 4 × 100 ya kupeana vijiti mwano mwaka 2014 katika michezo ya Jumuia ya madola. Gemili pia aliwahi kuwa bingwa wa zamani wa Dunia kwa vijana katika mita 100 na michezo ya uingereza ya wenye umri wa chini ya miaka 23 katika mita 100 na 4 × 100. |
Aliwahi kupata medali ya fedha katika mita 100 na mita 4 × 100 ya kupeana vijiti mwano mwaka 2014 katika michezo ya Jumuia ya madola. Gemili pia aliwahi kuwa bingwa wa zamani wa Dunia kwa vijana katika mita 100 na michezo ya uingereza ya wenye umri wa chini ya miaka 23 katika mita 100 na 4 × 100. |
||
Mstari 8: | Mstari 9: | ||
== Marejeo == |
== Marejeo == |
||
{{Reflist}} |
|||
{{Mbegu-mtu}} |
|||
[[Jamii:Waliozaliwa 1993]] |
|||
[[Jamii:USLW DOM]] |
[[Jamii:USLW DOM]] |
||
[[Jamii:Waliozaliwa 1993]] |
Toleo la sasa la 15:52, 13 Machi 2023
Adam Gemili (alizaliwa Oktoba 6 1993)[1], ni mwanariadha kutoka nchini Uingereza,ni mshindi wa michuano ya ulaya ya mwaka 2014 katika mbio za mita 200 na mita 4 x 100 ya kupeana vijiti ,Lakini pia ni sehemu ya Timu ya Uingereza iliyo shinda Medali ya dhahabu mnamo mwaka 2017 katika mashindano ya dunia.
Alikuwa mwanariadha Mwingereza wa kwanza kushiriki mashindano ya mita 100 ya vipande kumi na ya mita 200 ya vipande ishirini[2].
Aliwahi kupata medali ya fedha katika mita 100 na mita 4 × 100 ya kupeana vijiti mwano mwaka 2014 katika michezo ya Jumuia ya madola. Gemili pia aliwahi kuwa bingwa wa zamani wa Dunia kwa vijana katika mita 100 na michezo ya uingereza ya wenye umri wa chini ya miaka 23 katika mita 100 na 4 × 100.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Adam Gemili". www.teamgb.com (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2021-09-25.
- ↑ "Gemili runs his first sub-10 100m", BBC Sport (kwa Kiingereza (Uingereza)), iliwekwa mnamo 2021-09-25
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Adam Gemili kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |