Eneo bunge la Horr Kaskazini
Mandhari
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Eneo bunge la Horr Kaskazini ni mojawapo ya Majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo linapatikana katika Kaunti ya Marsabit, Mashariki mwa nchi. Eneo lote la jjimbo hili linapatikana katika eneo la baraza la utawala wa mitaa la Marsabit County.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1988.
Wabunge
[hariri | hariri chanzo]Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1988 | Bonaya Godana | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Bonaya Godana | KANU | |
1997 | Bonaya Godana | KANU | |
2002 | Bonaya Godana | KANU | Godana aliaga dunia katika ajali ya ndege wakati akihudumu. |
2006 | Ukur Yattani | Narc-Kenya | Uchaguzi Mdogo |
2007 | Francis Chachu Ganya | ODM |
Kata na Wodi
[hariri | hariri chanzo]Kata | |
Kata | Idadi ya watu* |
---|---|
Balesa Ririba | 5,215 |
Bubisa | 3,541 |
Dukana | 6,660 |
Galas | 4,000 |
Hurii hills | 3,373 |
Illeret | 5,045 |
Kalacha | 7,937 |
Maikona | 7,092 |
North horr | 7,715 |
Turbi | 1,800 |
Jumla | x |
*Hesabu ya 1999. |
Wodi | |
Wodi | Wapiga Kura waliojisajili |
---|---|
Bubisa | 2,886 |
Dukana | 4,188 |
Hurri Hills | 1,269 |
Illeret | 681 |
Kalacha | 2,023 |
Maikona | 2,165 |
North Horr | 4,421 |
Jumla | 17,633 |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama Pia
[hariri | hariri chanzo]- Maeneo bunge ya Kenya
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1992
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2002
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Ilihifadhiwa 28 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Horr Kaskazini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |