Kapsabet
Mandhari
Kapsabet | |
Mahali pa katika Kenya |
|
Majiranukta: 0°12′0″N 35°6′0″E / 0.20000°N 35.10000°E | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Kaunti | Nandi |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 91,030 |
Kapsabet ni mji wa Kenya, katika Bonde la Ufa la Afrika Mashariki.
Wakazi walikuwa 91,030 wakati wa sensa ya mwaka 2009[1].
Kapsabet ni kata ya kaunti ya Nandi, eneo bunge la Emgwen, magharibi mwa Kenya[2].
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Sensa ya Kenya 2009 Ilihifadhiwa 9 Januari 2019 kwenye Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency Archived Septemba 29, 2007, at the Wayback Machine
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kapsabet kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |